Friday, 6 March 2015

MCHEZAJI APOTEALEASHIMONI, MASHABIKI WAMSAKA


mchezaji wa Timu ya KIA FC akitoka katika shimo alilodumbukia  wakati akicheza mechi ambayo timu ya Kia Fc ilitinga hatua ya Fainali baada ya kuiadhibu timu ya Oasis mabao 3-1 mchezo ambao pia ulighubikwa na vurugu zilizosababisha refarii wa mchezo huo pamoja na mwamuzimsaidi wakijikuta wanaangukia kipigo.
baadhi ya mashabiki wa timu za Kia Fc na Oasis ambazozinashiriki michuano ya Fuya Cup wilayani Hai wakishuhudia tukio la mchezaji kutumbukia katika moja kati ya shimo lililopo katika uwanja wa CCM bomang'ombemashabiki wakielekea katika eneo la tukio ambapo mchezaji alitumbukia kwenye shimo lenye ukubwa wa zaidi ya mita 8

Picha na
Edwine Lamtey 0758-129821

No comments:

Post a Comment