ELIMU


pichani ni mtangazaji wa kituo cha redio Boma Hai Fm ndg. Edwine Lamtey ambaye pia ni mtangazaji katika kipindi cha Siku Mpya, Tuko Pamoja, Dance Africa, Night Shift, na ni makali wa Ladha za Mwambao, pamoja na hayo ni msomaji mahiri wa taarifa za habari na ukienda mbali zaidi ni mhariri msaidizi. usikose kusikiliza 89.4 Habari kwa Maendeleo.

No comments:

Post a Comment