MICHEZO


Timu ya Panone Fc ya mkoani Kilimanjaro hii leo inatarajia kushuka dimbani na Timu ya TOTO Africans katika uwanja wa ushirika mjini moshi hii leo.
katika picha ni kikiosi cha wachewaji wa timu ya Panone Fc
habari na Edwine Lamtey


LIVERPOOL, CHELSEA ZASHINDWA KUTAMBIANA

Mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Capital One Cup kati ya Liverpool na Chelsea imemalizika huku timu hizo zikishindwa kutambiana kwa kufungana bao 1-1.
Chelsea ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Hazard dakika ya 18 kwa mkwaju wa Penati, na Liverpool wakasawazisha kupitia kwa Sterling dakika ya 59.
...See More
Like ·  ·  ·

No comments:

Post a Comment