pichani ni wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo pamoja na wananchi wa wilaya ya Hai waliokusanyika huku wakimshangilia mbunge wa jimbo hilo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe wengi wa wafuasi hao wilayani hai hupenda kumuita ''Kaka''.
Picha na Edwine Lamtey
No comments:
Post a Comment