MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014
MUHTASARI WA MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014
KATA
|
WENYEVITI
WA
VIJIJI
|
WENYEVITI
WA
VITONGOJI
|
VITI MAALUMU
|
H/SHAURI
YA
KIJIJI
| |||||||||
S/N
|
CCM
|
CDM
|
CCM
|
CDM
|
CUF
|
CCM
|
CDM
|
CCM
|
CDM
| ||||
1
|
MACHAME MAGHARIBI
|
0
|
2
|
3
|
9
|
2
|
14
|
3
|
17
| ||||
2
|
KIA
|
3
|
0
|
12
|
3
|
21
|
3
|
32
|
2
| ||||
3
|
WERUWERU
|
4
|
0
|
14
|
3
|
1
|
30
|
2
|
42
|
3
| |||
4
|
MACHAME MASHARIKI
|
5
|
0
|
18
|
4
|
40
|
0
|
58
|
0
| ||||
5
|
MASAMA RUNDUGAI
|
3
|
2
|
17
|
7
|
28
|
12
|
37
|
19
| ||||
6
|
BOMANG’OMBE
|
2
|
3
| ||||||||||
7
|
BONDENI
|
6
|
0
| ||||||||||
8
|
MUUNGANO
|
0
|
6
| ||||||||||
9
|
MASAMA KATI
|
1
|
4
|
5
|
13
|
8
|
32
|
19
|
43
| ||||
10
|
MASAMA MAGHARIBI
|
2
|
3
|
8
|
8
|
30
|
6
|
32
|
32
| ||||
11
|
MACHAME NARUMU
|
3
|
1
|
12
|
4
|
26
|
6
|
26
|
16
| ||||
12
|
MACHAME UROKI
|
2
|
2
|
6
|
10
|
17
|
14
|
10
|
38
| ||||
13
|
MASAMA MASHARIKI
|
4
|
1
|
11
|
5
|
32
|
6
|
52
|
12
| ||||
14
|
MASAMA KUSINI
|
1
|
2
|
7
|
9
|
15
|
17
|
20
|
38
| ||||
15
|
ROMU
|
3
|
2
|
12
|
6
|
31
|
9
|
49
|
12
| ||||
16
|
MNADANI
|
3
|
3
|
20
|
18
|
24
|
24
|
32
|
26
| ||||
17
|
MACHAME KASKAZINI
|
1
|
4
|
11
|
18
|
12
|
28
|
16
|
34
| ||||
JUMLA
|
35
|
26
|
164
|
126
|
1
|
316
|
173
|
428
|
292
| ||||
ASILIMIA
|
57.4
|
42.6
|
56.4
|
43.3
|
0.3
|
64.6
|
35.4
|
59.4
|
40.6
| ||||
- KATA YA MACHAME NARUMU; Kijiji cha Orori; kitongoji cha Mulla wagombea wawili wamefungana kura hivyo mchakato utaanza upya kwa mujibu wa kanuni.
- KATA YA MASAMA KUSINI;Kijiji cha Kwasadala;Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kijiji haukufanyika kutokana na kifo cha Mgombea wa CCM.Hivyo uteuzi wake umetenguliwa na sasa CCM itafanya uteuzi wa mgombea mwingine tarehe 19/12/2014.Kwa mujibu wa kanunui uchaguzi utapanga katika muda usiozidi siku tisini.
- Wenyeviti wa vijiji waliopita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM ni wawili katika kijiji cha Tindigani katika kata ya Kia na kijiji cha Shirimgungani katika kata ya Mnadani.
- Wenyeviti wa vitongoji waliopita bila ya kupingwa kwa tiketi ya CCM ni kumi na sita na kwa tiketi ya CHADEMA ni mmoja.
- Wajumbe wa Viti maalumu wanawake waliopita bila ya kupingwa kwa CCM ni ishirini na tisa.
- CCM – Chama Cha Mapinduzi
- CDM – Chama cha Demokrasia na Maendeleo
- CUF – Civic United Front
No comments:
Post a Comment