Mkuu wa wilaya siha mkoani kilimanjaro dk
charles mlingwa amewataka wananchi wilayani humo kushiriki kikamilifu kwenye
zoezi la chanjo ya surua na rubella iliyoanza juzi hadi oktoba 24 mwaka huu na
kwamba hazina madhara
Mkuu huyo alitoa wito huo hivi karibuni wakati akizungumza na viongozi mbali mbali wa wilaya hiyo pamoja na waandishi wa habari katika ukumbi wa rc sanya juu kuhusiana na zoezi hilo na chanjo ambapo watoto wa umri miezi 9 hadi miaka 15 wanashiriki katika chanjo hiyo
Mlingwa alisema viongozi wa ngazi zote wilayani humo wanatakiwa kushiriki kikamilifu kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenye vilivyopangwa vya afya
Viongozi wa serikali na viongozi na viongozi wa ngazi zote pamoja na wa madhehebu yote tuhamasishe wananchi wajitokeze,dawa hizi hazina madhara yoyote na chanjo hizi nikinga kwa majonjwa mengi
Hivyo kuwataka wananchi wilayani humo kujitokeze kwa wingi kuwapeleka watoto wao hili wapate chanjo hiyo kabla mwishi haujafika oktoba 24 mwaka huu

NA SALMA SHABANI
No comments:
Post a Comment