Monday 22 December 2014

BREAKING NEWS:


 WAZIRI ANNA TIBAIJUKA AMEOMBWA KUVUA UWAZIRI NA MUHONGO AWEKWA KIPORO
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Anna Tibaijuka ameombwa kuvua rasmi nafasi yake ya Uwaziri na Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema wamemueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka kuachia ngazi ili apate kuteua waziri mwingine.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo, Rais Kikwete amesema huyu amemuweka kwanza kiporo maana bado uchunguzi unafanyika
· 

No comments:

Post a Comment