Friday 19 December 2014

PATO LA TAIFA KUONGEZEKA ZAIDI MWAKA 2015




Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi inaonesha kuwa pato la Taifa kwa Takwimu zilizo rekebishwa limepanda kutoka shilingi Trilioni 53 kwa kizio cha mwaka 2001na kufikia shilingi Trilioni 70 kwa kizio cha mwaka 2007, ambapo pato la mtu mmoja mmoja nalo limepanda kutoka wastani wa shilingi 1,561,050 na kufikia shilingi 1,861,200.
Je, pato lako kwa mwaka linalingana na takwimu hizo?
CHANZO CHA hABARI East Africa Television (EATV)

No comments:

Post a Comment