Monday 22 December 2014

BREAKING NEWS:


 WAZIRI ANNA TIBAIJUKA AMEOMBWA KUVUA UWAZIRI NA MUHONGO AWEKWA KIPORO
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Anna Tibaijuka ameombwa kuvua rasmi nafasi yake ya Uwaziri na Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema wamemueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka kuachia ngazi ili apate kuteua waziri mwingine.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo, Rais Kikwete amesema huyu amemuweka kwanza kiporo maana bado uchunguzi unafanyika
· 

Sunday 21 December 2014

Marry Christmas and Happy New Year 2015

Radio Boma Hai Fm inapenda kukutakia krismasi njema na mwaka mpya mwema 2015 wenye baraka na mafanikio zaidi.
katika picha ni watangazaji wa kituo cha Redio Boma Hai Fm.







Friday 19 December 2014

PATO LA TAIFA KUONGEZEKA ZAIDI MWAKA 2015




Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi inaonesha kuwa pato la Taifa kwa Takwimu zilizo rekebishwa limepanda kutoka shilingi Trilioni 53 kwa kizio cha mwaka 2001na kufikia shilingi Trilioni 70 kwa kizio cha mwaka 2007, ambapo pato la mtu mmoja mmoja nalo limepanda kutoka wastani wa shilingi 1,561,050 na kufikia shilingi 1,861,200.
Je, pato lako kwa mwaka linalingana na takwimu hizo?
CHANZO CHA hABARI East Africa Television (EATV)

BH FM 89.4



Boma Hai Fm inakutakia heri na fanaka katika msimu huu wa sikukuuu za krismasi na Mwaka Mpya 2015 wakati pia tukiwa na ofa kabambe msimu huu. Tangaza nasi kwa bei nafuu.  Marry Christmas and Happy New Year 2015

Thursday 18 December 2014

MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014


MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014



MUHTASARI WA MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI HAI KWA MWAKA 2014 



KATA
WENYEVITI
WA
VIJIJI
WENYEVITI
WA
VITONGOJI
VITI MAALUMU
H/SHAURI
YA
KIJIJI
S/N

CCM
CDM
CCM
CDM
CUF
CCM
CDM
CCM
CDM
1
MACHAME MAGHARIBI
0
2
3
9

2
14
3
17
2
KIA
3
0
12
3

21
3
32
2
3
WERUWERU
4
0
14
3
1
30
2
42
3
4
MACHAME MASHARIKI
5
0
18
4

40
0
58
0
5
MASAMA RUNDUGAI
3
2
17
7

28
12
37
19
6
BOMANG’OMBE


2
3





7
BONDENI


6
0





8
MUUNGANO


0
6





9
MASAMA KATI
1
4
5
13

8
32
19
43
10
MASAMA MAGHARIBI
2
3
8
8

30
6
32
32
11
MACHAME NARUMU
3
1
12
4

26
6
26
16
12
MACHAME UROKI
2
2
6
10

17
14
10
38
13
MASAMA MASHARIKI
4
1
11
5

32
6
52
12
14
MASAMA KUSINI
1
2
7
9

15
17
20
38
15
ROMU
3
2
12
6

31
9
49
12
16
MNADANI
3
3
20
18

24
24
32
26
17
MACHAME KASKAZINI
1
4
11
18

12
28
16
34
JUMLA
35
26
164
126
1
316
173
428
292
ASILIMIA
57.4
42.6
56.4
43.3
0.3
64.6
35.4
59.4
40.6















     
    1. KATA YA MACHAME NARUMU; Kijiji cha Orori; kitongoji cha Mulla wagombea wawili wamefungana kura hivyo mchakato utaanza upya kwa mujibu wa kanuni.

    1. KATA YA MASAMA KUSINI;Kijiji cha Kwasadala;Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kijiji haukufanyika kutokana na kifo cha Mgombea wa CCM.Hivyo uteuzi wake umetenguliwa na sasa CCM itafanya uteuzi wa mgombea mwingine tarehe 19/12/2014.Kwa mujibu wa kanunui uchaguzi utapanga katika muda usiozidi siku tisini.

    1. Wenyeviti wa vijiji waliopita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM ni wawili katika kijiji cha Tindigani katika kata ya Kia na kijiji cha Shirimgungani katika kata ya Mnadani.

    1. Wenyeviti wa vitongoji waliopita bila ya kupingwa kwa tiketi ya CCM ni kumi na sita na kwa tiketi ya CHADEMA ni mmoja.

    1. Wajumbe wa Viti maalumu wanawake waliopita bila ya kupingwa kwa CCM ni ishirini na tisa.
     
VIFUPISHO;
  1. CCM – Chama Cha Mapinduzi
  2. CDM – Chama cha Demokrasia na Maendeleo
  3. CUF – Civic United Front